ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Tuesday, October 3, 2017

MAGUGU MAJI SASA YAZINGIRA GHATI YA LUCHELELE MWANZA


Baada ya kusimamisha shughuli za usafiri na usafirishji kwenye eneo la ufukwe wa Jembe Beach jijini Mwanza, magugu maji yenye ukubwa wa zaidi ya mita 100 sasa yamelizingira eneo la ghati ya kivuko cha Luchelele jijini hapa.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.