Meneja wa Mwalimu Commercial
Bank, Plc, (MCB), tawi la Samora katikati ya jiji la Dar es Salaam,
Bi. Leticia Ndongole,(kulia), akimpatia zawadi, mmoja wa wateja wa
benki hiyo, wakati wa maadhimisho ya Wiki ya Huduma kwa Wateja Oktoba
4, 2017, kwenye tawi la benki hiyo barabara ya Samora jijini Dar es
Salaam.
NA
K-VIS BLOG
Wiki
ya kwanza ya Mwezi Oktoba kila mwaka, hutumika kama Wiki ya Huduma kwa
Wateja Duniani, ambapo taasisi za umma na binafsi, hujumuika pamoja na
wateja wao kwa lengo la kuonyesha mahusiano mema katika kutoa huduma
na pia kuzunhumzia changamoto za kihuduma kwa mwaka mzima na hatimaye
kutafuta njia za kuzitatua changamoto hizo.
Kwa upane wake, MCB iliwaalika wateja wake, na kujumuika nao kwenye tawi la benki hiyo, barabara ya Samora jijini Dar es Salaam, ambapo viongozi wa benki hiyo walitumia wasaa huo kuwashukuru, wateja lakini pia kuwahamasisha zaidi kutumia huduma za benki hiyo ambazo ni pamoja na kutoa gharama nafuu na rafiki za kibenki na ni suluhisho la kifedha kwa walimu, watumishi wa serikali, wafanyabiashara, wakulima na wananchi kwa ujumla.
Hali kadhalika huduma za ATM ambazo zinapatikana Umoja Switch wenye mtandao mpana nchi nzima.

Maafisa wa benki hiyo pia ili
kurahisisha huduma zaidi za kibenki, pia huduma ya kiganjani, sim
banking ni miongoni mwa huduma zitolewazo na benki
hiyo.
Katika hafla hiyo, MCB ilitoa
zawadi mbalimbali kwa wateja ili kuonyesha shukrani na kuwaahidi
kuendelea kutoa huduma bora zaidi.
Meneja
wa Mwalimu Commercial Bank, Plc, (MCB), tawi la Samora katikati ya jiji
la Dar es Salaam, Bi. Leticia Ndongole,(kulia), akimpatia zawadi, mmoja
wa wateja wa benki hiyo, wakati wa maadhimisho ya Wiki ya Huduma kwa
Wateja Oktoba 4, 2017, kwenye tawi la benki hiyo barabara ya Samora
jijini Dar es Salaam.

Meneja wa Huduma kwa Wateja,
MCB, Bi.Flora C. Mbogo, akziungumza wakati wa hafla hiyo.
Mkuu wa
Kitengo cha Biashara na Masoko cha benki hiyo, Bw. Valence Luteganya,
(kulia), akizungumza kwenye hafla hiyo. Wengine kutoka kushoto ni
Meneja wa Huduma kwa Wateja, MCB, Bi.Flora
C. Mbogo,na Meneja
wa Mwalimu Commercial Bank, Plc, (MCB), tawi la Samora katikati ya jiji
la Dar es Salaam, Bi. Leticia Ndongole.
Meneja
wa Mwalimu Commercial Bank, Plc, (MCB), tawi la Samora katikati ya jiji
la Dar es Salaam, Bi. Leticia Ndongole, (kushoto), akiwa na
Mkuu wa
Kitengo cha Biashara na Masoko cha benki hiyo, Bw. Valence Luteganya, wakati
akizungumza na wateja wa benki
hiyo.
Viongozi wa MCB, wakiungana na
baadhi ya wateja wao kukata keki, ikiwa ni ishara ya kusherehekea
pamoja katika kipindi cha wiki ya Huduma kwa Wateka, wkenye tawi la
benki hiyo la Samora katikati ya jiji la Dar es Salaam.
Meneja wa Huduma kwa Wateja,
MCB, Bi.Flora C. Mbogo,akikata keki.
Meneja
wa Mwalimu Commercial Bank, Plc, (MCB), tawi la Samora katikati ya jiji
la Dar es Salaam, Bi. Leticia Ndongole, akimlisha keki, mmoja wa
wateja waliohuduria hafla hiyo.
Wafanyaakzi wa MCB, wakiwa
katika picha ya pamoja.
Baadhi ya wateja waliohudhuria
hafla hiyo kwa kutumia simu zao wakirekodi matukio.
Mkuu wa
Kitengo cha Biashara na Masoko cha benki hiyo, Bw. Valence
Luteganya,(kushoto), akifurahia pamoja na wafanyakazi wenzake wakati
akitambulisha picha ya Mfanyakazi bora wa mwezi wa benki hiyo, Bw.
Ombeni S. Kaale.
Picha ya pamoja ya wafanyakazi
na wateja wa MCB.
Baadhi ya wafanyakazi wa MCB.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.