Halmashauri ya Jiji la Mwanza itapitia upya mikataba yake dhidi ya wafanyabiashara waliohodhi maeneo ya biashara Jijini humo. Hatua
hiyo itaongeza mapato ya halmashauri kwani kuna baadhi ya
wafanyabiashara wamehodhi maeneo ya biashara na kuwapangishia watu
wengine hatua ambayo huibua migogoro.
0 comments:
Post a Comment