Ingawa ni tukio la huzuni kumpoteza kipenzi cha watu lakini kama maandiko yanavyonena bila kujali imani hapa ni katika .....Wafilipi 4:4-7 'Furahini katika Bwana siku zote, tena nasema furahini! Upole wenu ufahamike kwa watu wote. Bwana anakaribia kuja. Msifadhaike juu ya jambo lolote; lakini katika kila jambo mjulisheni Mungu haja zenu, kwa kusali na kuomba pamoja na kushukuru, Na amani ya Mungu, ambayo inapita ufahamu wote, italinda mioyo yenu na nia zenu" Nasi ilitupasa kufanya hivyo katika kuwafariji wafiwa.
Kutoka kushoto ni Mbunge wa Jimbo la Chalinze Mhe. Ridhiwan Kikwete, mtoto wa marehemu Mhe. Lucy Philemon Owenya, na Mbunge wa Jimbo la Busega DKT. Raphael Chegeni.
Picha ya pamoja.
Philemoni Ndesamburo atakumbukwa na mengi hasa katika siasa za mageuzi ambapo katika uchaguzi wa mwaka 2015 akiwa ni mwenyekiti wa Chama chake mkoa wa Kilimanjaro.
Bwana Ametoa, Bwana Ametwaa, Jina lake lihimidiwe. Amin.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.