Mahakama ya hakimu mkazi nkoa wa Mbeya jana iliwasomea mashtaka ya kesi ya uhujumu uchumi kwa aliyekuwa Meya wa jiji Mbeya Atanas Kapinga, aliyekuwa mkurugenzi mtendaji wa jiji hilo Elizabeth Munuo na watumishi wengine wanne kwa kuisababishia hasara halmashauri hiyo ya jiji la Mbeya zaidi ya shilingi bilioni 4.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.