Hili suala ninaliunga mkono kwa asilimia 100. Ni aibu kuimport nguo za mitumba, toothstick, maziwa ya unga, vyuma, eti hadi Furniture, na bidhaa kibao huku tuna rasilimali misitu, rasilimali watu, rasilimali madini, makaa ya mawe, mazao ya kilimo na vitu vingi ya kututoa huko, in short hapa nazungumzia 'malighafi zoe tunazo'.
'Ni ujasiri tu' Tupambane sasa tukishikana mkono kwa mkono kufika huko....#HAPA KAZI TU" asema Mbunge wa Jimbo la Chalinze Mhe. Ridhiwan Kikwete.
Maendeleo ya Viwanda na uwekezaji yanategemea sana Mazingira Bora yaliyowekwa na Njia sahihi zisizo na mikwamo. Nimeyaona haya katika Ziara ya Taasisi ya Kibunge inayopambana na Magonjwa ya Milipuko na Malaria katika Kiwanda Cha Vyandarua Cha A To Z-Arusha.
Kazi inaendelea.
Kiwanda cha AtoZ kinaendelea kupanua shughuli zake za uzalishaji na hivi sasa wameanza kutengeneza mifuko ya kubebea bidhaa mbalimbali nchini kwa kutumia teknolojia ya hali ya juu kutoka nje ya nchi.
Kiwanda hicho kimeingia mkataba na wizara na maliasili na utalii kupitia msitu wa Olmotonyi na hivyo kuwaruhusu kukata matawi ya miti ya miti hiyo kwa ajili ya uzalishaji mifuko.
Maendeleo ya Viwanda na uwekezaji yanategemea sana Mazingira Bora yaliyowekwa na Njia sahihi zisizo na mikwamo.
Nimeyaona haya katika Ziara ya Taasisi ya Kibunge inayopambana na Magonjwa ya Milipuko na Malaria katika Kiwanda Cha Vyandarua Cha A To Z-Arusha. #MazingirayaUwekezaji #TanzaniaYaViwanda #hapakazitu #magufulinikazitu #ccmyajenganchi
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.