Mshindi wa Jackpot ya Tatu Mzuka iliyofanyika Jumapili hii Bi
Ruth Rodgers Maeda akikabidhiwa hundi ya shilingi Milioni 20 aliyojishindia
kutoka kwa balozi wa Mchezo wa Tatu Mzuka, Mussa Hussein. Mchezo wa Tatu Mzuka
umefanikiwa kujizoelea umaarufu kwa kutoa washindi kila saa. Jackpot hiyo
inaendelea jumapili hii kwa mshindi kujishindia shilingi milioni 80.
Mshindi wa Jackpot ya Tatu Mzuka iliyofanyika Jumapili hii Bi
Ruth Rodgers Maeda (wa pili kutoa kulia) akishangilia pamoja na familia yake
ushindi wake wa zawadi ya shilingi Milioni 20. Mchezo wa Tatu Mzuka umefanikiwa
kujizoelea umaarufu kwa kutoa washindi kila saa. Jackpot hiyo inaendelea
jumapili hii kwa mshindi kujishindia shilingi milioni 80.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.