Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji na Uokoaji, Thobias Andengenye, akikabidhiwa kipeperushi na Katibu Mtendaji wa Taasisi isiyo ya Kiserikali inayojishughulisha na kuzuia Uhalifu, ajali (UAC), Elliot Andrew (kushoto), wakati wa Uzinduzi wa Kampeni ya Namba ya Dharura 114, itakayotumiwa na wananchi kutoa Taarifa za majanga ya moto, ajali, mafuriko, tetemeko la ardhi na majanga mengine. Kuliani Naibu Kamishna Rasilimali Watu wa Jeshi hilo, Billy Mwakatage. Uzinduzi huo umefanyika leo Makao Makuu ya Jeshi, jijini Dar es Salaam.
Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na UzinduziwaKampeniyaNambayaDharura 114,
KamishnaJeneraliwaJeshi la ZimamotonaUokoajinaUokoaji, ThobiasAndengenye, akionyeshamfanowauwekajistikayenyeNambayaDharura 114,itakayo bandikwa kwenye vyombo vya usafiri na maeneo mengine kwaajili ya kutumiwa na wananchi kutoa Taarifa za majanga ya moto, ajali, mafuriko, tetemeko la ardhi na majanga mengine.
Maafisa wa Jeshi waliohudhuria Uzinduzi wa Kampeni ya Namba ya Dharura 114, itakayotumiwa na wananchi kutoa Taarifa za majanga ya moto, ajali, mafuriko, tetemeko la ardhi na majanga mengine, wakimsikiliza Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji na Uokoaji, Thobias Andengenye (hayupo pichani)
Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji na Uokoaji, Thobias Andengenye (watanokulia), akiwa katika picha ya pamoja na Maafisa Waandamizi wa Jeshi hilo, Viongozi na Wadau walioshirikiana na Jeshi hilo kuwezesha Uzinduzi wa Kampeni ya Namba ya Dharura 114, itakayotumiwa na wananchi kutoa Taarifa za majanga ya moto, ajali, mafuriko, tetemeko la ardhi na majanga mengine.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.