Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani,Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani nchini,Mohamed Mpinga akionyesha tuzo ya balozi bora wa usalama barabarani, aliyokabidhiwa na Mgeni Rasmi, Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Simon Odunga(kushoto) wakati wa hafla ya kutunuku tuzo kwa mabalozi hao,wapili kushoto ni Mwenyekiti wa Taifa wa Baraza la Usalama Barabarani,Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni.Hafla hiyo imefanyika mwishoni mwa wiki katika Hotel ya Royal,mkoani Dodoma. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Mgeni Rasmi,Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Simon Odunga, akimkabidhi Kamishna Msaidizi wa Jeshi la Polisi, Fortunatus Musilimu(kulia) cheti cha kutambua mchango wake katika masuala ya usalama barabarani wakati wa hafla ya kutunuku tuzo kwa Mabalozi wa Usalama Barabarani,wapili kushoto ni Mwenyekiti wa Taifa wa Baraza la Usalama Barabarani,Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni.Hafla hiyo imefanyika mwishoni mwa wiki katika Hotel ya Royal,mkoani Dodoma. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Mgeni Rasmi,Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Simon Odunga, akimkabidhi Mkurugenzi wa Barabara wa Mamlaka ya Usimamizi wa Usafirishaji wa Nchi Kavu na Majini(SUMATRA), Johansen Kahatano (kulia) cheti cha kutambua mchango wake katika masuala ya usalama barabarani wakati wa hafla ya kutunuku tuzo kwa Mabalozi wa Usalama Barabarani,wapili kushoto ni Mwenyekiti wa Taifa wa Baraza la Usalama Barabarani,Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni.Hafla hiyo imefanyika mwishoni mwa wiki katika Hotel ya Royal,mkoani Dodoma. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Mgeni Rasmi,Kaimu Mkuu
wa Mkoa wa Dodoma, Simon Odunga(wakwanza
kushoto waliokaa) na Mwenyekiti wa Taifa wa Baraza la Usalama
Barabarani,Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad
Masauni (wapili kushoto waliokaa), wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya
Mabalozi wa Usalama Barabarani mara baada ya kutunukiwa vyeti ikiwa ni utambuzi
wa mchango wao katika masuala ya usalama barabarani,iliyofanyika mwishoni mwa
wiki katika Hotel ya Royal,mkoani Dodoma. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
IMEANDALIWA
NA KITENGO CHA MAWASILIANO SERIKALINI-WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.