ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Thursday, July 6, 2017

ROCK CITY BASKETBALL CUP KUIRUDISHA HADHI YA MPIRA WA KIKAPU MWANZA

Rock City Basketball inaanza rasmi kurindima jijini Mwanza tarehe 7July2017 Ni siku ya kihistoria kwani ndiyo siku ya Uzinduzi wa uwanja mpya wa basketball wa Mirongo ulioko Nyamagana jijini hapa.

 #SIKU_IMEWADIA :-  #basi ijumaaa hiii katika uzinduzi wa rockcitybasketball cup basi tutajua Nani mbabe baina ya mabingwa WA mkoa season ya 2015/2016 PROFILE Vs mabingwa wa kihistoria mwanza mara 3 mfululizo BUGANDO HEAT, ambapo ijumaa hii tutajua Nani mbabe tutaona skills, blocks, dunks na surprises kibao Nani atashinda hii game basi usikose uwanja WA mirongo ijumaa hii kuanzia saa tisa unusu mchana @mbabavc #bringbackourgame #basketball ... 

Sponsored by @Jembefm @fxstudiotz @gsengotv #merugas & Powered by @jembenijembe

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.