Tanzania 4 vs 2 Lesotho: COSAFA 2017 - Taifa Stars Yanyakua Nafasi Ya Tatu
Timu ya taifa ya Tanzania imeshika nafasi ya tatu katika michuano ya COSAFA 2017 kwa kuiondosha Lesotho kwa mikwaju ya penati. Kwa mara ya kwanza Tanzania imefikia hatua ya juu katika michuano hii.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.