ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Monday, July 24, 2017

PLANRep NA MBINU MPYA.

 Bw. Johanes Bukwali, Katibu Tawala Msaidizi Uchumi na uzalisha Sekretarieti ya mkoa wa Mwanza, akisoma Hotuba ya Katibu Tawala wa Mkoa huu wakati wa Ufunguzi wa Mafunzo ya Siku nane kuhusiana na PlanRep kwa watendaji wa a Mikoa ya Kanda ziwa
 Baadhi ya Watengenezaji wa Mfumo Mpya wa PlanRep, ambao wataufundhisha kwa muda wa siku nane Mkoani Mwanza, hapa wakijitambulisha mbele ya Watendaji walifika kwaajili yakufundishwa.
 Watendaji wa PS3 wakifatilia kwa Makini Hotuba wakati wa ufunguzi wa Semina ya PlanRep
 Bw. Desderi Wengaa,Mkuu wa Masuala ya Mifumo kutoka PS. akitoa maelezo ya Utangulizi kabla ya kufunguliwa kwa Semina hiyo inayofanyiaka Mkoani Mwanza.
 Bw. Elias Rwamiago, Kutoka Ofisi ya Rais TAMISEMI akizunguza kabla yakumkaribisha Mgeni Rasmi kufungua Senina hiyo ya Siku nane

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.