Sehemu ya wadau UVCCM na waalikwa viongozi Jumuiya mbalimbali jimbo la Nyamagana mkoani Mwanza wakimsikiliza Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Taifa Ndg Shaka Hamdu Shaka (MNEC) ndani ya kikao cha ndani baada ya kushiriki ujenzi wa Ofisi ya CCM Tawi la Bugarika Kaskazini Wakati wa Ziara ya kikazi Manispaa ya Nyamagana Mkoani Mwanza.
Mbunge wa Jimbo la Nyamagana Mhe. Stanslaus Mabula alipata fursa kuainisha hatua mbalimbali alizoweza kukamilisha katika kipindi chake kifupi cha uongozi jimboni kwake.
Barabara za lami kilomita 2.3,
Mathalani Kilomita 0.6 kutoka Isamilo hadi BOT
Kilomita 0.6 barabara korofi ya Isamilo hadi Mjimwema hii inaelekea hatua za mwisho, Kilomita 0.2 Uzinza zote hizi ziko katika hatua nzuri.
Vipi kuhusu sekta ya Afya, Elimu, Vijana na Michezo? BOFYA PLAY KUMSIKILIZA
Sehemu ya wadau UVCCM na waalikwa viongozi Jumuiya mbalimbali jimbo la Nyamagana mkoani Mwanza wakimsikiliza Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Taifa Ndg Shaka Hamdu Shaka (MNEC) ndani ya kikao cha ndani baada ya kushiriki ujenzi wa Ofisi ya CCM Tawi la Bugarika Kaskazini Wakati wa Ziara ya kikazi Manispaa ya Nyamagana Mkoani Mwanza.
Sehemu ya wadau UVCCM na waalikwa viongozi Jumuiya mbalimbali jimbo la Nyamagana mkoani Mwanza wakifuatili yanayojiri.
Nyamagana.
Umakini..
Sehemu ya wadau UVCCM na waalikwa viongozi Jumuiya mbalimbali jimbo la Nyamagana mkoani Mwanza wakimsikiliza Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Taifa Ndg Shaka Hamdu Shaka (MNEC) ndani ya kikao cha ndani baada ya kushiriki ujenzi wa Ofisi ya CCM Tawi la Bugarika Kaskazini Wakati wa Ziara ya kikazi Manispaa ya Nyamagana Mkoani Mwanza.
Kutoka meza kuu Mwenyeji wa ujio mwenyekiti wa Umoja wa vijana CCM wilaya ya Nyamagana Hussein Kimu akiendesha muda wa maswali, kero na majibu kwenye kikao cha ndani cha UVCCM ni katika ziara ya Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Taifa Ndg Shaka Hamdu Shaka (MNEC) ndani ya jimbo la Nyamagana Mwanza.
Wadau Nyamagana.
Naibu Meya wa wilaya ya Nyamagana Bikhu Kotecha akijibu moja ya maswali ya papo hapo pamoja na wawasilishaji kero toka kwa wadau wa Umoja wa vijana CCM BOFYA PLAY KUSIKILIZA MAJIBU.
Mwenyeji wa ujio huo mwenyekiti wa Umoja wa vijana CCM wilaya ya Nyamagana Hussein Kimu akitoa neno la shukurani na kuahirisha kikao.
Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Taifa Ndg Shaka Hamdu Shaka (MNEC) akimkabidhi cheti cha shukurani Mbunge wa Nyamagana Mhe. Stanslaus Mabula nara baada ya kumaliza ziara yake jimboni humo.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.