Leo Julai 26, Wakati akijadiliana na Maafisa Elimu wa Wilaya na kata
pamoja na walimu wa wakuu wa shule za msingi na sekondari kuhusu
changamoto zinazowakabili kiasi cha kusababisha matokeo mabaya katika
mitihani ya kitaifa, Mkuu wa mkoa wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda
alilazimika kuwafuta kazi maafisa elimu wa kata 12.
Hatua hiyo ilifuata baada ya Afisa elimu wa Kata ya Mbagala kushindwa
kueleza matumizi matumizi sahihi ya posho laki mbili na nusu wanayopokea
na baadaye akafuatiwa na wengine 11
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.