Mbunge wa Sengerema, William Ngeleja ameithibitishia Jembe Fm kuwa amerejesha Tsh 40.4 milioni alizopewa katika mgao wa fedha zilizochotwa kutoka akaunti ya Tegeta Escrow.
Akizungumza asubuhi hii kwa njia ya simu na kipindi cha Kazi na Ngoma kinachoruka kila siku za juma saa 5 asubuhi hadi 7 mchana. Mbunge huyo wa Sengerema amejibu kwa ufupi tu kwa ".....ndiyo ni kweli kwa taarifa uliyosikia...." SAUTI KUWAJIA HIVI PUNDE.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.