Akizungumza katika kikao cha balaza la madiwani kilichoanza
tarehe 6/7/2017 mkuu wa wilaya hiyo mh Emmanueli Kipole amesema halmashauri
itengeneze mpango kazi wa kuwalipa wananchi hao fetha zao au iwape
viwanja hivyo ili kurudisha imani ya viongozi kwa wananchi.
Mchakato huwa ulianza toka mwaka 2013 ambapo halmashauri
hiyo iliwahamasisha wananchi kujitokeza na kulipia viwanja ambapo zilikusanywa fedha kiasi cha milioni miamoja
na moja na hata sasa wananchi hao hawajapewa wala kupimiwa viwanja hivyo na wala hawajui viko sehemu gani viwanja hivyo wala nini hatma yake.
Mmoja kati ya wananchi hao ambaye hakutaka jina lake litajwe
amesema kuwa yeye amejitahidi kutafuta muafaka kwa kuwaona viongozi mbali mbali
lakini hakufanikiwa kupata muafaka wa kutanzua sala hilo
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.