Naibu Waziri wa Ajira Kazi Anthony Mavunde, akimkabidhi Kombe la
SportPes Super Cup, Nahodha wa Gor Mahia baada ya kuibuka washindi
katika fainali ya kombe hilo iliyochezwa kwenye Uwanja wa Uhuru dhidi ya
AFC Leopards na kushinda mabao 3-0. Picha kwa hisani ya Montage Ltd.
0 comments:
Post a Comment