Basi
la BATCO lenye namba za usajili T192DHW limeteketea kwa moto hii leo
katika eneo la Kirumi kata ya Bukabwa Wilayani Butama Mkoani Mara. Gari
hilo lilikuwa linafanya safari zake kutoka Tarime-Sirari na Mwanza.
Tupe maoni yako
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.