ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Saturday, June 3, 2017

JPM ATEUA MWINGINE KUTOKA ACT - Wazalendo KUWA MKUU WA MKOA WA KILIMANJARO.

 Rais Magufuli amemteua aliyekuwa Mgombea Urais kwa tiketi ya chama cha Act - Wazalendo, Bibi Anna Elisha Mghwira kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.