Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Mwigulu Nchemba, akijibu maswali yaliyoelekezwa kwa wizara yake wakati wa kipindi cha maswali yaliyoulizwa na Wabunge wakati wa Bunge la Bajeti mjini Dodoma.Kulia ni Naibu Waziri wa wizara hiyo,Mhandisi Hamad Masauni.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Naibu Waziri wa Mambo
ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akijibu maswali yaliyoelekezwa kwa
wizara yake wakati wa kipindi cha maswali yaliyoulizwa na Wabunge wakati wa
Bunge la Bajeti mjini Dodoma.Kushoto
ni Waziri wa wizara hiyo, Mwigulu
Nchemba. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani
ya Nchi
Katibu Mkuu wa Wizara
ya Mambo ya Ndani ya Nchi,Meja Jenerali Projest Rwegasira, akizungumza na
makamanda wa Jeshi la Polisi muda mfupi kabla ya kuanza kwa kikao cha Bunge la
Bajeti ambapo wizara yake iliomba Bunge liidhinishe Bajeti ya jumla ya Shilingi
930,396,817,000.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu
Nchemba akifurahia na baadhi ya wabunge mara baada ya kumaliza kuwasilisha
makadirio ya Bajeti yake kwa mwaka 2017/2018 ambapo aliliomba Bunge liidhinishe
Bajeti
ya jumla ya Shilingi 930,396,817,000 wakati
wa kikao cha Bunge la Bajeti,mjini Dodoma.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
IMEANDALIWA NA KITENGO CHA MAWASILIANO SERIKALINI-WIZARA YA
MAMBO YA NDANI YA NCHI
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.