Wanaokata
rufaa vyeti feki waonywa, serikali yamwaga ajira 15000, Sakata la
vyeti feki: Ngoma bado mbichi, Magufuli amsamehe Mbowe, Maalim Seif :
Kukaa na Lipumba! No way.
Wizara
kupunguza rufaa ya matibabu nje, Maalim Seif: Heri CCM kuliko Lipumba
msaliti, serikali yashusha presha vyeti feki, mafuta yashuka bei, CCM
yatoa tani 1000 za chakula cha msaada. Pata uchambuzi wa magazeti ya leo
hapa.
Wairani wanaambiwa nini kuhusu vita?
-
Ingawa mamilioni ya Wairani hufuatilia vituo vya satelaiti vya lugha ya
Kipersia vinavyotangaza kutoka nje ya nchi, kupata taarifa huru bado ni
changamoto.
0 comments:
Post a Comment