ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Monday, May 15, 2017

MAGAZETI YA LEO:- MAJERUHI VICENT WASAFIRISHWA, MBUNGE AHOFIA MAISHA YAKE MAUAJI KIBITI, KATIBU CCM AUAWA KWA RISASI 8, YONDANI AWAPIGA KIJEMBE SIMBA.

Wanafunzi 3 majeruhi Vincent wasafirishwa, Mbunge ahofia maisha yake mauaji Kibiti, Katibu CCM auawa kwa risasi 8, Yondani awapiga kijembe Simba.
 
Kamati 7 za Bunge kuunda chama kudhibiti ajali za barabarani, Upinzani: Necta ichunguzwe sakata la vyeti feki, Jambaza laua kisa fedha ATM. Habarika na dondoo hizi za magazeti ya leo hapa.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.