Kamati
ta ulinzi na usalama wilayani Sengerema imeendelea na zoezilake la kuteketeza mashamba ya bangi na safari hii zoezi hilo limeelekezwa
katikati ya hifadhi ya shamba la miti Buhindi Halmashauri ya Buchosa ambako huko makumi ya hekta za zao hilo haramu yameteketezwa.
Zoezi likiendelea chini ya usimamizi wa kamati ya ulinzi na usalama.
Ng'oa ng'oa mche kwa mche.
Kamati ya ulinzi na usalana wilaya ya sengerema imefanya msako katika msitu wa hifadhi ya miti buhundi wilaya ya buchosa na kuteketeza mashamba sita ya bangi
Kiongozi
wa msako huo mkuu wa wilaya ya sengerema ms EMANUEL KIPOLE amesema kuwa
serikali wilayani humo imejipanga kwa kushirikiana na wananchi
kuhakikisha hautasalia mche hata mmoja wa bangi wilayani humo.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.