ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Sunday, February 12, 2017

KIPINDI MAALUM HOTUBA YA RAIS DKT MAGUFULI BAADA YA KUMUAPISHA KAMISHNA WA DAWA ZA KULEVYA


Inaonyesha kila kinachoendelea huwa kinamfikia Rais Magufuli ambapo leo kwenye hotuba yake IKULU Dar es salaam ameongea kuhusu wale Mashabiki wa Yanga walioonekana kulifutafuta vumbi gari la Mfanyabiashara Yusuph Manji baada ya kuingia kuhojiwa Polisi kwenye sakata la dawa za kulevya.

Pamoja na hilo, JPM pia ameongelea ishu ya Wanakwaya wa Askofu Gwajima kwenda na kusimama nje ya kituo cha kati cha Polisi baada ya Askofu huyo kuingia kuhojiwa na Polisi kwenye sakata la dawa za kulevya. tazama hii video hapa chini kuona Rais JPM akizungumza.

FULL VIDEO:-

Kipindi maalum Hotuba kamili.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.