ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Sunday, February 12, 2017

IDD AZZAN AACHIWA HURU.

Aliyekuwa mbunge Kinondoni, Idd Azzan ametoka mahabusu baada ya kukaa siku tatu akihojiwa kwa tuhuma za dawa za kulevya.

Azzan alitoka katika Kituo Kikuu cha Polisi Dar es Salaam saa10:30 jioni kwa kupitia mlango wa pili upande wa baharini huku askari polisi wakimzunguka na kumtoa kupitia geti la nyuma.

Mbunge huyo wakati amemaliza ngazi hizo aligeuza mgongo kwa lengo la kuwakwepa waandishi wasimpige kumpiga hadi kwenye gari aina ya RAV4 ambayo ilielekea Water Front.     

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.