ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Monday, January 9, 2017

AFARIKI BAADA YA KUTUMBUKIA KWENYE SHIMO LA CHOO.

Tukio la uopoaji mwili wa marehemu likifanyika mkoani Tabora Mtaa wa Mwene Kanisa la Miti majira ya Saa 8:21 Asubuhi ya Leo siku ya Jumatatu ambapo Mwanamke mmoja mwenye umri wa miaka 27 aitwae Okoa Godfrey amepoteza maisha baada ya kutumbukia kwenye shimo la choo - Uokozi umefanywa na kikosi cha Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mkoa wa Tabora, kama picha zifuatazo zinavyojieleza.
Ngazi ilisimikwa ndani ya shimo.
Askari wa kikosi alizama kwenye kwenye shimo.
Hatimaye mwili ulipatikana nao ukachukuliwa na kikosi kuelekea hospitali kwaajili ya uchunguzi zaidi na taarifa.
Askari na wananchi kwenye tukio.
Askari aliyefanikinisha zoezi la kuzamia kwenye maji ...ingawa bado kunachangamoto kwa vikosi vyetu na suala zima la vitengea kazi hasa vifaa nya kuzamia majini kama mavazi.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.