ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Friday, November 25, 2016

AIRTEL YAWAWEZESHA WATANZANIA KUSHIRIKI MASHINDANO VIDEO BORA NCHINI SINGAPORE.

Washindi wa shindano la video bora lililoendeshwa  na  kampuni ya simu za mkononi ya Airtel   lijulikanalo kama “jicho la kitaa”  Bwana Elisha Ezakiel Lango na Frank Sylvester Machiya  wakiwa nchini Singapore kuiwakilisha Tanzania katika mashindano ya kimataifa ya video bora lililoshirikisha nchi mbalimbali duniani.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.