ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Friday, November 25, 2016

MWAKYEMBE APEWA SIKU 7 KUTOA MAELEZO YA MKATABA WA MAWAKILI EAC

Waziri mkuu Kasim Majaliwa ametoa muda wa wiki moja kwa waziri wa katiba na sheria Dr Haryson Mwakyembe kutoa maelezo kwa nini Tanzania haijakamilisha mkataba wa mawakili wa Afrika Mashariki kutambuana katika utendaji kazi wao. 

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.