ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Friday, November 25, 2016

MTANZANIA IBRAHIMU CLASS 'KING CLASS MAWE' APAA BERLIN.

Bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' akiwa katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa julius nyerere kwa ajili ya safari yake ya kwenda Huxleys, Kreuzberg, Berlin kupambana novemba 29 mpambano wa marudio na bondia Zapir Rasulov baada ya  lile la kwanza kushinda kwa point kule nchini Panama City,  Panama na kurudi na ubingwa kulia ni msaidizi wa bondia huyo Joe Anena .
Msaidizi wa  Bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' JoeAnena kushoto wakiwa katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa julius nyerere kwa ajili ya safari yao ya kwenda Huxleys, Kreuzberg, Berlin kupambana novemba 29 mpambano wa marudio na bondia Zapir Rasulov baada ya  lile la kwanza kushinda kwa point kule nchini Panama City,  Panama na kurudi na ubingwa.
Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa Masumbwi Nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kushoto akiwa na bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' wakati alipo msindikiza bondia huyu uwanja wa ndege wa kimataifa wa julius nyerere kwa ajiri ya safari yake ya kwenda Huxleys, Kreuzberg, Berlin kupambana novemba 29 mpambano wa marudio na bondia Zapir Rasulov baada ya  lile la kwanza kushinda kwa point kule nchini Panama City,  Panama na kurudi na ubingwa  Picha na SUPER D BOXING NEWS.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.