ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Tuesday, September 27, 2016

RAIS MAGUFULI ATENGUA UTEUZI WA KATIBU TAWALA WA MKOA WA KAGERA.

Rais John Magufuli ametengua uteuzi wa Katibu Tawala wa Mkoa wa Kagera

Rais John Magufuli ametengua uteuzi wa Katibu Tawala wa Mkoa wa Kagera, Amantius Msole na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Bukoba, Steven Makonda.
Katika taarifa ambayo imetolewa na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu, Gerson Msigwa imeeleeza kuwa sababu ya Rais Magufuli kutengua uteuzi wao ni baada ya kubaini kuwa wamefungua akaunti nyingine ya benki kwa kutumia jina linalofanana na akaunti rasmi ya kuchangia maafa iitwayo ‘Kamati Maafa Kagera’ kwa leno la kujipatia fedha.
Rais John Magufuli ametengua uteuzi wa Katibu Tawala wa Mkoa wa Kagera
1b4204ac-0530-4d88-bf03-6025f25d0121

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.