Jana LAPF kanda ya ziwa kwa niaba ya Uongozi wa Mfuko wa Pension wa LAPF ilimkabidhi Mheshimiwa Angelina Mabula mifuko 325 ya cement ikiwa ni kutimiza ahadi waliyoiweka katika harambee aliyoiandaa Mheshimiwa Mabula iliyokua ikilenga kujenga vyumba VYA madarasa Wilayani Ilemela.
Pichani manager wa LAPF Kanda ya ziwa Mr Mwakifulefule akimkabidhi msaada huo kwa Mh Mabula. Naye Mheshimiwa Mabula alitoa cheti cha Shukrani kwa LAPF. #VyumaVimekaza
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.