Licha ya kufungua mazungumzo na Johnny Evans, klabu ya Arsenal inayoshiriki Ligi Kuu ya Uingereza inamuwinda Alexandre Lacazette is set to become Lyon's top paid player.
West Ham had a number of bids rejected for the French forward earlier this summer before finally meeting Lyon’s asking price of £40million plus bonuses.
However, Slaven Bilic's side were told by Lacazette that he has his heart set on joining a club in the Champions League.
The Gunners have been linked with the 25-year-old all summer as Arsene Wenger bids to boost his attack for the new campaign.
However, the Ligue 1 side will offer the France international a new deal until 2019 worth £70,000 a week.
Asked about the possible transfer of Lacazette in this transfer window, Lyon coach Bruno Genesio stated: “That is not going to happen.”"WAKATI HUO HUO:-
Jose Mourinho amepiga vijembe kwa Arsene Wenger na Jurgen Klopp, akisema klabu zao si kubwa kiasi cha kuwa na jeuri ya kufanya usajili wa rekodi ya dunia kama wa Paul Pobga.
Ijumaa iliyopita Mourinho aliwataja makocha hao wa Arsenal na Liverpool kama watu waliokosa maadili baada ya wapinzani wake hao kuhoji 'umwagaji' wa pesa wa United kwaajili ya kumrejesha Old Trafford Paul Pobga kutoka Juventus.
Akizungumza baada ya usajili wa Pobga, Mourinho alisema: "Najua mijadala inayoendelea, naelewa hilo, wakati mwingine kwenye soka vitu vinatokea na klabu inavunja rekodi kadhaa, lakini hiyo inakuwa ni rahisi tu pale inapokuwa ni kwa klabu kama Man United.
"Wakati niliposikia baadhi ya maoni na nilipowasikia makocha waliokuwa wakikosoa nilijua wazi kuwa hawakuwahi kuwa na harakati kama hizo, kuwa na harakati hizo ni lazima uwe katika klabu kubwa duniani. Kwa Manchester United ndiyo mahala pake.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.