ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Tuesday, August 30, 2016

CHADEMA 18 WA UKUTA WANYIMWA DHAMANA SIMIYU

SIMIYU:- Mahakama yawanyima dhamana wanachama 18 wa CHADEMA akiwemo Naibu Katibu Mkuu Zanzibar, Salum Mwalimu hadi siku 14 zipite.

Walikamatwa baada ya kukiuka amri ya Polisi ya kuzuia vikao vya ndani.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.