ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Tuesday, August 30, 2016

OPARESHENI TOKOMEZA UJAMBAZI DAR YAUNDWA.


KAMANDA wa Jeshi la polisi kanda maalum ya Dar es Salaam, Kamanda Simon Siro amesema Polisi wapatao 80 wametumwa kufanya Oparesheni maalum katika msitu wa Vikindu na maeneo mengine mkoa wa Pwani ili kupambana na kuvunja mtandao wa wahalifu wanaotumia silaha.

Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam Kamanda Sirro amesema lengo la Oparesheni hiyo ni kulisafisha jiji la Dar es salaam dhidi ya mtandao huo unaotumia msitu wa vikindu kama maficho yao ambao umekuwa ukifanya uhalifu katika maeneo mbalimbali ya jiji.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.