SIMU.tv: Makonda afichua ufisadi wa kutisha, Kinara wa mil. 7 kwa dakika sasa afikisha makosa 383, Koffi Olomide jela miezi mitatu. Pata dondoo za magazeti ya leo.
SIMU.tv: Madudu bodi ya sukari yaanikwa, Kikwete: Nimeutua mzigo salama, Ufisadi waitikisa PBZ na ZRB, Makonda afichua madudu Machinga Complex. Pata undani wa dondoo hizi hapa.
SIMU.tv: Magumu ya kikwete miaka 10 ya urais, CHADEMA kutoa tamko zito, Mawakili waandamana kudai haki, DC aliyetumbuliwa Mwanza atokomea na vyombo vya ofisi. Pata dondoo za magazeti ya leo hapa.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.