Mahakama Kuu Kanda ya Iringa leo imemhukumu kwenda jela miaka 15 kwa kosa la mauaji ya bila kukusudia askari wa kikosi cha kutuliza ghasia (FFU) mwenye namba G .2573 Pacificus Cleophace Simon (27) aliyemuua mwandishi wa habari wa kituo cha Chanel Ten Daudi mwangosi.
Mwangosi alivyouawa.
Juzi mahakama hiyo ilimkuta na hatia ya kuua bila kukusudia Pacificius ambaye anayetuhumiwa kumuua Mwangosi katika tukio lilitokea katika Kijiji cha Nyololo, wilayani Mufindi Mkoani Iringa Septemba 2, 2012.
0 comments:
Post a Comment