Yanga wamecheza mchezo wao wa nne dhidi ya Medeama mjini Takoradi Ghana na kukubali kipigo cha goli 3-1, kipigo ambacho kimezidi kufifisha safari ya Yanga kutinga katika hatua ya nusu fainali ya michuano hiyo, magoli ya Medeama yamefugwa na Daniel Amoah dakika ya 7 na Abbas Mohammed aliyefunga magoli mawili dakika ya 22 na 37.
Simon Msuva ndio aliyefunga goli la kufutia machozi kwa Yanga kwa mkwaju wa penati dakika ya 24, kwa matokeo hayo Yanga wanaendelea kusalia na michezo miwili dhidi ya MO Bejaia ya Algeria watakaocheza nyumbani na TP Mazembe ya Kongo watakaocheza ugenini, nafasi ya Yanga kufuzu katika hatua ya nusu fainali ni finyu sana.

Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.