| Mgeni rasmi wa Changizo la Elimu Jimbo la Ilemela, Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Ashatu Kijaji akihamasisha wadau juu ya umuhimu wa kuchangia elimu. |
BOFYA PLAY KUMSIKILIZA
| CRDB wakiwasilisha hundi ya shilingi Milioni 5. |
| Kulia ni Meya mstaafu wa Manispaa ya Ilemela Henry Matata akiwa na mfanyabiashara maarufu Mwanza Mr. Munanka Chacha Gitano. |
| Wabunge mbalimbali wa majimbo ya Kanda ya Ziwa pia wamejumuika kwenye hafla hii. |
| Makampuni. |
| Waandishi wa habari Mwanza. |
| Wafanyabiashara na wawekezaji. |
| Mwanza Cosmopolitan City ndani ya Usiku wa Changizo la Elimu jimbo la Ilemela. |
| Wafugaji nao wamejitokeza. |
| Cash..........Ikipokelewa na Mgeni rasmi wa Changizo la Elimu Jimbo la Ilemela, Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Ashatu Kijaji |
| Familia ya Baba Mabula nayo ilichangia harakati hizo za Jimbo. |
| Pamoja na fedha DSTV pia imetoa kingine kikubwa zaidi...... |
| Mfanyabiashara maarufu Mwanza Mr. Munanka Chacha Gitano,hakusita wala kuwa na shaka kwani alikuwa mstari wa mbele kuhakikisha zoezi linafanikiwa. |
| Naomba kuwasilisha. |
| Burudani ya Peter Msechu. |
| The angle. |
| Wadau wa siasa na wafanyabiashara. |
| Burudani ya Jembe ni Jembe toka kwa Zarry Edosha akiidondosha kwa stage. |
| Makampuni wawekezaji Mwanza. |
| Watu muhimu Mwanza. |
| Matukio yalinaswa moja baada ya jingine na ABC. |
| Jiografia. |
| Kutoka Gold Crest Hotel Mwanza. |
| Peter Msechu, Zarry Edosha na Deejay K-Flip. |
| Kamati. |
| Kamati. |
| Jiografia ya Rock City Mall. |
| Picha ya pamoja na meza kuu. |
| Kazi mliyotutuma tumeimaliza. |
![]() |
| Aksante Dr. Jembe kwa Picha hii Kaliiiiiiiiiiiiii nikiwa na My Brother Kibs. |
Tupe maoni yako

0 comments:
Post a Comment