Rais Dkt. John Magufuli, akimkabidhi cheti cha mfanyakazi bora wa mwaka 2015 Enock Kalege, na zawadi ya Sh. milioni 5 iliyotolewa na Mfuko wa Pensheni wa PPF kwa mfanyakazi huyo bora wa mwaka, wakati wa Kilele cha sherehe za Mei Mosi zilizofanyika Kitaifa mkoani Dodoma jana,Mei 1,2016. Picha na Mpiga Picha Wetu.
02:- Kutoka kushoto, ni Kaimu Murugenzi wa Bernard Konga,Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni PPF, William Erio na Mkurugenzi Mkuu wa LAPF Eliud Sanga, wakiwa katika sherehe za Mei Mosi Mkoani Dodoma jana, Picha na Mpiga Picha Wetu
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.