ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Monday, May 2, 2016

MAGAZETI YA LEO:- AJIPIGA RISASI AKITAFUTA SELFIE YA MWAKA. MAGUFULI ATUA MZIGO WAFANYAKAZI. IGP AAGIZWA KUMPANDISHA CHEO TRAFIKI ALIYETUKANWA. TAKUKURU KUCHUNGUZA KAMPUNI 200 KINONDONI


Rais Magufuli atua mzigo wafanyakazi. IGP aagizwa kumpandisha cheo trafiki aliyetukanwa. Takukuru kuchunguza kampuni 200 Kinondoni; 


Dkt.Shein aongeza mshahara asilimia 100 kwa watumishi. RC Mtwara awatumbua maofisa utumishi 4. Jela miaka 20 kwa kukutwa na nyumbu; 


 Bodaboda kusukiwa mpango kuingia katikati ya jiji. DC Urambo awa mbogo kutanazwa mafuriko wilayani. Sheria kuwabana wanaotumia Dart kutengenezwa; 

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.