John Mongella Kuliongoza Jiji La Mwanza.
Ni kiapo kinachohusisha uti na uaminifu katika utendaji, John Mongella aapishwa kuuongoza mkoa wa Mwanza.Paul Makonda Akila Kiapo.
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda akila kiapo mbele ya rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.John. Magufuli.Alichozungumza Rais Magufuli.
Sikiliza kile alichokiongea rais Magufuli baada ya hafla ya kuapisha wakuu wa mikoa ikulu jijini Dar es Salaam.Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.