ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Tuesday, March 15, 2016

MFUKO WA BIMA YA AFYA WA AAR WAKUTANISHA WADAU WAKE KANDA YA ZIWA KATIKA USIKU MAALUM

Mkurugenzi wa Mfuko wa Bima ya Afya wa AAR Majura Manyama akitoa neno la utangulizi kwa wadau mbalimbali wa utoaji wa huduma za afya sambamba na wananchi watumiaji wa mfuko huo wa Bima katika hafla ya chakula cha usiku iliyofanyika Gold Crest Hotel Mwanza.
Meneja wa Mfuko wa Bima ya Afya AAR mkoa wa Mwanza, Bi. Elionora akiwakaribisha wadau  wadau mbalimbali wa utoaji wa huduma za afya sambamba na wananchi watumiaji wa mfuko huo wa Bima katika hafla ya chakula cha usiku iliyofanyika Gold Crest Hotel Mwanza, Pia meneja huyo alitumia nafasi hiyo kutoa maelezo juu ya utendaji kazi wa Tawi la Mwanza linalo hudumia Mikoa ya Kanda ya ziwa Victoria kwa ujumla.
Mmoja wa maofisa wa Mfuko wa Bima ya Afya wa AAR makao makuu Tabia Masoud  ndiye aliyepewa jukumu la kutoa ufafanuzi wa safari ya miaka 25 ya huduma za mfuko huo hapa nchini Tanzania ikiwa ni pamoja na changamoto mbalimbali walizokabiliana nazo na jinsi walivyoweza kuzitatua ikiwa ni pamoja na mapinduzi ya nini kilicho kwenye mikakati ya baadaye. 
25 Years Commemoration and AAR Insuarance Tanzania Today muhusika hapa ni Tabia Masoud.
Mc G. Sengo.
Registration/Introductions.
Wadau mbalimbali wa utoaji wa huduma za afya wakiwemo madaktari sambamba na wananchi watumiaji wa mfuko huo wa Bima wakisilikiza yanayojiri katika hafla ya chakula cha usiku iliyoandaliwa na Mfuko wa Bima ya Afya wa AAR na kushirikisha wadau wa Kanda ya Ziwa iliyofanyika Gold Crest Hotel Mwanza.
Karibu sana.......
Mfuko wa Bima ya Afya wa AAR nchini umesaidia kuboresha ukuaji wa utoaji huduma kwa hospitali na zahanati mbalimbali nchini kwani  wateja wengi wanaojiunga na mfuko huo wanaviwango mbalimbali vya huduma walizozipendekeza ikiwemo huduma  za kimataifa, hicyo ilikuendana na kasi hiyo hospitali nyingi zimekuwa zikiboresha huduma zake ili kuendanana kasi ya uhitajiwa huduma za kiwango kinachohitajika. Operations and Process Management Wilfred Rono.
Questions & Feedback Session.
Maswali na majibu ya wadau waliokaribishwa yametumika kuimarisha huduma za Mfuko wa Bima ya Afya wa AAR.
Changamoto kwa miaka ya awali za malipo kwa njia ya Benki nazo zilijumuishwa katika kipengele cha maswali na majibu ambapo wadau wameushauri Mfuko wa Bima ya Afya na Matibabu wa AAR kuwa na ubia na mabenki  mengine hapa nchini ili kuweza kupenyeza huduma zaidi maeneombalimbali nchini. 
Questions & Feedback Session.
Operations and Process Manager Bw. Wilfred Rono (kushoto) na Bi. Tabia Massudi (kulia) wakijibu maswali ya wadau  wadau mbalimbali wa utoaji wa huduma za afya sambamba na wananchi watumiaji wa mfuko huo wa Bima katika hafla ya chakula cha usiku iliyofanyika Gold Crest Hotel Mwanza.
Questions & Feedback Session.
Questions & Feedback Session kutoka kwa wanahabari.
Mkurugenzi wa Mfuko wa Bima ya Afya wa AAR Majura Manyama alijibu maswali meza baada ya meza kuhakikisha chagamoto zote muhimu zinatatuliwa usiku huo.
Questions & Feedback Session.
Questions & Feedback Session.
Wanachama wa AAR.
Picha ya wadau AAR.
Kona na wadau wa AAR Mwanza.
Nice .
We won.
Respect.
Picha ya pamoja ya wadau wa AAR mkoa wa Mwanza pamoja na wakuu wao.
Picha ya pamoja meza kuu ya AAR na wadau wake mkono kwa mkono katika kuhakikisha afya inalindwa.
AAR Insuarance You are in control.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.