|
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli
akisalimiana na wabunge muda mfupi baada ya kuhutubia na kuzindua rasmi
Bunge la 11 mjini Dodoma Jumamosi Novemba 20, 2015 |
|
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli
akisalimiana na Spika Mstaafu Mhe Pius Msekwa huku Spika Mstaafu
mwingine Mhe Anne Makinda akisubiri zamu yake muda mfupi baada ya
kuhutubia na kuzindua rasmi Bunge la 11 mjini Dodoma Jumamosi Novemba
20, 2015 |
|
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli
akisalimiana na mmoja wa wabunge muda mfupi baada ya kuhutubia na
kuzindua rasmi Bunge la 11 mjini Dodoma Jumamosi Novemba 20, 2015 |
|
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Joseph Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Marais wastaafu Alhaj
Ali Hassan Mwinyi, Dkt Jakaya Mrisho Kikwete na Mhe. Benjamin William
Mkapa muda mfupi baada ya kuhutubia na kuzindua rasmi Bunge la 11 mjini
Dodoma Jumamosi Novemba 20, 2015 |
|
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Joseph Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Marais wastaafu Alhaj
Ali Hassan Mwinyi, Dkt Jakaya Mrisho Kikwete na Mhe. Benjamin William
Mkapa muda mfupi baada ya kuhutubia na kuzindua rasmi Bunge la 11 mjini
Dodoma Jumamosi Novemba 20, 2015 |
|
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli
katika picha ya pamoja na viongozi wakuu na wabunge muda mfupi baada
ya kuhutubia na kuzindua rasmi Bunge la 11 mjini Dodoma Jumamosi Novemba
20, 2015 |
|
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli
akisikiliza kwa unyenyekevu mawaidha toka kwa Rais Mstaafu wa Awamu ya
Pili Alhaj Ali Hassan Mwinyi muda mfupi baada ya kuhutubia na kuzindua
rasmi Bunge la 11 mjini Dodoma Jumamosi Novemba 20, 2015 |
|
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli
akiwa na Rais wa Zanzibar Dkt Ali Mohamed Shein, Rais Mstaafu wa Awamu
ya Pili Alhaj Ali Hassan Mwinyi, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar
Balozi Seif Ali Iddi na Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe
Pandu Ameir Kificho muda mfupi baada ya kuhutubia na kuzindua rasmi
Bunge la 11 mjini Dodoma Jumamosi Novemba 20, 2015 |
|
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli
na Waziri Mkuu Mhe Majaliwa Kassim Majaliwa wakijichanganya na wabunge
kwenye mchapalo muda mfupi baada ya kuhutubia na kuzindua rasmi Bunge
la 11 mjini Dodoma Jumamosi Novemba 20, 2015 |
|
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli
na Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt Jakaya Mrisho Kikwete na Kiongozi
Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo Mhe Zitto Kabwe muda mfupi baada ya
kuhutubia na kuzindua rasmi Bunge la 11 mjini Dodoma Jumamosi Novemba
20, 2015 |
|
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Mwenyekiti wa
CCM mkoa wa Mwanza Mhe Anthony Diallo muda mfupi baada ya kuhutubia na
kuzindua rasmi Bunge la 11 mjini Dodoma Jumamosi Novemba 20, 2015 |
|
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli
akisalimiana na Mama Shadya Karume na MAma Khadija Mwinyi muda mfupi
baada ya kuhutubia na kuzindua rasmi Bunge la 11 mjini Dodoma Jumamosi
Novemba 20, 2015 |
|
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli
akiongea na wabunge na wageni waalikwa kwenye mchapalo muda mfupi
baada ya kuhutubia na kuzindua rasmi Bunge la 11 mjini Dodoma Jumamosi
Novemba 20, 2015. Ni hapo alipoamuru kwamba zaidi ya shilingi milioni
200 zilizochangwa na wafadhili kwa ajili ya mchapalo huo zitumike kwa
kununulia vitanda vya wagonja katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili. |
|
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli
akimshukuru na kumkabidhi cheti mwakilishi wa Benki kwa mchango wao
kwenye mchapalo muda mfupi baada ya kuhutubia na kuzindua rasmi Bunge
la 11 mjini Dodoma Jumamosi Novemba 20, 2015. |
|
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli
akimshukuru na kumkabidhi cheti Mkurugenzi Mkuu wa PPF Bw. William Erio
kwa mchango wao kwenye mchapalo muda mfupi baada ya kuhutubia na
kuzindua rasmi Bunge la 11 mjini Dodoma Jumamosi Novemba 20, 2015. |
|
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli
akimshukuru na kumkabidhi cheti Mkurugenzi Mkuu wa PSPF Bw.Adam
Mayingu kwa mchango wao kwenye mchapalo muda mfupi baada ya kuhutubia
na kuzindua rasmi Bunge la 11 mjini Dodoma Jumamosi Novemba 20, 2015. |
|
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli
akimshukuru na kumkabidhi cheti Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Benki ya
NMB Mama Ineke Bussemaker kwa mchango wao kwenye mchapalo muda mfupi
baada ya kuhutubia na kuzindua rasmi Bunge la 11 mjini Dodoma Jumamosi
Novemba 20, 2015. |
|
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli
akimshukuru na kumkabidhi cheti Mwakilishi wa NSSF kwa mchango wao
kwenye mchapalo muda mfupi baada ya kuhutubia na kuzindua rasmi Bunge
la 11 mjini Dodoma Jumamosi Novemba 20, 2015. |
|
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli
akimshukuru Spika Job Ndugai wakati anaondoka baada ya kuhutubia na
kuzindua rasmi Bunge la 11 mjini Dodoma Jumamosi Novemba 20, 2015. |
|
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph
Magufuli akipozi na badhi ya mabalozi wa nchi za Kiafrika
waliokaribishwa kwenye hafla ya kuhutubia na kuzindua rasmi Bunge la 11
mjini Dodoma Jumamosi Novemba 20, 2015. |
Picha na Muhidin Issa Michuzi wa Ikulu
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.