Wachezaji wa timu ya soka ya Panone fc wakipasha misuli moto kabla ya kuanza kwa mchezo wa ligi ya shirikisho inayodhaminiwana Azam. |
Wachezaji wa timu ya Polisi Dar wakipasha misuli moto kabla ya kuanza kwamchezo wa ligi ya shirikisho hidi ya Panone fc mchezo uliopigwa katika uwanja wa Chuo cha Ushirika. |
Kocha wa timu ya soka ya Panone fc,Atuga Manyundo akizungumza na Azam TV iliyokuwa ikirusha mchezo huo moja kwa moja. |
Wapiga picha wa Azam Tv wakiweka sawa mitambo yao kwa ajili ya kurusha live mchezo huo. |
Vikosi vikiingia uwanjani. |
Panone fc |
Polisi Dar. |
Wachezaji wa timu hizo wakisalimiana. |
Benchi la Polisi Dar. |
Benchi la Panone fc. |
Kikosi cha Panone fc. |
Waamuzi wa mchezo uo. |
Camera maalum aina ya Drone akipiga picha za juu katika uwanja wa Ushirika wakati wa mchezo wa ligi ya Shirikisho kati ya Panone fc na Polisi Dar. |
Azam Tv walikuwa live kurusha mchezo huo. |
heka heka katika mchezo huo. |
Panone fc wakishangilia baada ya kupata bao la kwanza. |
Heka heka. |
Heka heka langoni mwa timu ya Polisi Dar. |
Wachezaji wa Polisi Dar wakishangilia mara baada ya kusawazisha bao. |
Panone fc wakifanya mabadiliko ,mchezaji Pompy akiingia. |
Baadhi ya Mashabiki waliojitokeza katika mchezo huo. |
Figisu figisu ilipotokea uwanjanihapa kidogo wachezaji wa timu zote mbili akioneshana msuli. |
Mmoja wa wachezaji wa timu ya Panone fc akiwa chini akisikilizia maumivu baada ya kuchezewa vibaya na mchezaji wa Polisi Dar. |
Mchezaji wa Panone fc akipewa msaada wa huduma ya kwanza mara baada ya kuchezewa vibaya. |
Mlinzi wa timu ya Panone fc Pompy akijaribu kumiliki mpira. |
Aliyekuwa Kocha wa timu ya soka ya JKT Ruvu ,Felix Minziro akiwa katika uwanja wa Ushirika akifuatilia mchezo kati ya timu ya Panone fc na Polisi Dar , |
Moja ya heka heka langoni mwa timu ya Panone fc. |
Pompy akijaribu kumzuia msgambuliaji wa timu ya Polisi Dar, |
Mwamuzi wamchezo huo ,Nathan akiashiria kumalizika kwa dakika 90 za mchezo huo. |
Mwisho wa mchezo Panone fc 2 Polisi Dar 1. |
Waamuzi wakitoka uwanjani. |
Wazee wa kubeti nao hao hawako nyuma sasa hivi wanatembea na mashine zao hadi katika viwanja vya michezo. |
Wapiga picha wa Azam Tv wakichukua matukio mbalimbali. Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini. |
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.