MAAJABU KAHAMA.... Watu watano kati ya sita waliofukiwa katika machimbo ya nyangarata kwa siku 41 wameokolewa usiku wa kuamkia leo wakiwa hai.. Walikuwa wanaishi kwa kula nguo zao magome ya miti na udongo... Wapo hospital ya wilaya ya Kahama kwa sasa.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.