Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Saidi Meck Sadiki Mgeni Rasmi Siku ya Watoto Njiti, (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA) |
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Saidi Meck Sadiki (wa pili kushoto) akimkabidhi Mkurugenzi wa Uuguzi katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, Agnes Mtawa (wa nne kulia) mashine ya kutowa hewa ya Oxygen kwa watoto waliozaliwa kabla ya wakati Oxygen Concentrator) kwaniaba ya Kaimu Mkurugenzi Mtendaji
wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH), Profesa Lawrence Museru, kuanzia kulia ni mwakilishi Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Dk. Grace Mallya, Kaimu Mkuu wa Idaraya Watoto na Dk, Bingwa wa Watoto, Martha Mkony na anayefatia ni Doris Mollel ambaye ni Mwakilishi wa Taasisi ya Doris Mollel Foundation
Baadhi ya wafanyakazi
Baadhi ya wauguzi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili
Afisa Mrakibu Mwandamizi wa Magereza (SSP) akizungumza jambo wakati wa kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Watoto njiti Dar es Salaam
Mkazi wa Mbagala Kizuiani Jijini Dar es Salaam, Jesca Yusuph akiwashukuru madaktari na wauguzi pamoja na Mwanzilishi wa Taasisi ya (DMF)
Mkuu wa Mkoa Saidi Meck Sadik na Mtoto Amney Salimu (3) akiwa amebebwa na mama yake mzazi Eshe Ahmed, wakikata Keki wakati wa siku ya Watoto Njiti, Dar es Salaam, wa pili kulia ni Mwakilishi wa Taasisi ya Doris Mollel Foundation na wakwanza kushoto ni Mkurugenzi wa Uuguzi katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Agnes Mtawa
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Saidi Meck Sadik akilishwa Keki na Mtoto Amney Salimu (3) akiwa amebebwa na mama yake mzazi Eshe Ahmed, wakati wa siku ya Watoto
Njiti Dar es Salaam, wa kwanza kulia ni Mwakilishi wa Taasisi ya Doris
Mollel Foundation na watatu kushoto ni Mkurugenzi wa Uuguzi katika
Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Agnes Mtawa
Mti uliopandwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Saidi Meck Sadik
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Saidi Meck Sadik akimwagilia maji mti alioupanda wakati wa kilele cha Maadhimisho ya siku ya Watoto
Njiti Duniani Jijini Dar es Salaam na kutembelea Wod za watoto waliozaliwa njiti katika jengo la watoto
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.