ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Monday, November 16, 2015

WATU 2 WAFARIKI KWA KUFUKIWANA KIFUSI MKOANI KAGERA.


Watu 2 wafariki kwa kufukiwa na kifusi Mkoani Kagera

Watu wawili wamefariki katika tukio la kufukiwa na kifusi eneo la kyetema, kitongoji cha kawahya bukoba vijijini. Tukio hilo limetokae majira ya saa tano na wawili hao walioaga dunia ni bw: nelson johansen (20) na bw: samadu rashid (18) wakazi wa Kawahya. Nae afisa wa madin mkoa wa kagera amedhibitisha kutokea kwa tukio hilo na kuwashauri wachimbaji wa mchanga kuwa makini katika mazingira hususan kipindi hiki cha mvua na kuwa ofisi yake itakuwa makin kwa ajil ya kukagua maeneo ya uchimbaji na kusitisha maeneo ambayo yatakuwa na hatari ya kupoteza maisha ya watu. Aidha bw; Said ameongeza kuwa mpaka sasa eneo hilo lumefungwa hadi hapo hali ya usalama wa eneo hilo itakapokuwa shwari pia amesema kuwa tukio hilo n la tatu mpaka sasa na maeneo ambayo yameshakutwa na matukio hayo yakiwa n kashai,katoma na kyetema ambapo tukio hilo limetokea.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.