ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Thursday, November 12, 2015

JIANDAE KWA CAMPUS JAM.

Kama wewe ni msomi mjanja basi ile time ya kujumuika na wajanja wenzako hii hapa. Tarehe 28 Nov 2015 barabara zote zitaelekea jEMBe Beach Resort. Wanavyuo wote watakutana hapa pamoja na washkaji zao kuziteketeza stress.... Powered by 93.7 jEMBe Fm mtag mjanja yeyote unajemfahamu... @bobwhite_pamba @mzairebokilo_93.7 @dvjfrank @deejaykflip @mansourjumanne @nattyebrandy @mbabavc @bonz_255 @djmike_beatz @josephmazigo @gsengo @kajunason @michuzijr 

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.