Dk. Raphael Chegeni (hayupo pichani) wa Jimbo la Busega akizungumza na wanachama wa CCM pamoja na wananchi wa Jimbo la Busega kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni za CCM Mkoa wa Simiyu. |
Dk. Raphael Chegeni wa Jimbo la Busega akizungumza na wanachama wa CCM pamoja na wananchi wa Jimbo la Busega kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni za CCM Mkoa wa Simiyu. |
Vijana nao wakapanda mtini kumshuhudia Mama Samia Suluhu Hassan akihutubia. |
Mgombea mwenza wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) nafasi ya urais, Bi. Samia Suluhu Hassan (kulia) wakizungumza jambo na Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Busega, George Mshomi katika Jimbo hilo. |
Mgombea mwenza wa CCM tiketi ya urais, Mama Suluhu Hassan akizungumza na wanachama wa CCM pamoja na wananchi wa Jimbo la Busega. |
Salamu kwa wananchi njiani akielekea katika mikutano mikubwa. |
Wagombea udiwani CCM, Jimbo la Bariadi wakijitambulisha kwa wananchi. |
'Tutakaa popote tumshuhudie Mama Samia Suluhu Hassan' ...Vijana wakiwa wamepanda juu ya bati Jimbo la Itilima ili kumshuhudia mgombea mwenza. |
Mgombea Ubunge Jimbo la Itilima, Njalu Daudi Silanga akizungumza na wanachama wa CCM pamoja na wananchi wa Jimbo la Itilima kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni za CCM Mkoa wa Simiyu. |
Umati katika Jimbo la Itilima, Wilaya ya Itilima Simiyu. |
Mgombea Ubunge Jimbo la Itilima, Njalu Daudi Silanga akizungumza na wanachama wa CCM pamoja na wananchi wa Jimbo la Itilima kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni za CCM Mkoa wa Simiyu. |
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.