ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Saturday, October 3, 2015

KAMPUNI YA MEGATRADE INVESTMENT LIMITED YAPOKEA CHETI CHA UBORA WA BIDHAA ZAKE KUTOKA TBS

Meneja wa Kanda ya Pwani wa Kampuni ya Megatrase Investment Limited Godfrey mkunde kushoto akipokea ncheti cha ubora wa bidhaa za kampuni hiyo kutoka kwa mkurugenzi wa viwango nchini TBS Bw. Joseph Masikitiko wakati wa utoaji wa vyeti hivyo uliofanyika katika ofisi za TBS Dar es salaam.

Meneja wa Kanda ya Pwani wa Kampuni ya Megatrade investment limited Godfrey Mkunde kulia akiwa naMsimamizi mkuu wa mauzo wa Kampuni hiyo Albert Kingu.
Meneja wa Kanda ya Pwani wa Kampuni ya Megatrade investment limited Godfrey Mkunde kulia akiondoka baada ya kuchukuwa cheti cha ubora wa bidhaa za kampuni hiyo kutoka kwamkurugenzi wa kampuni ya viwango nchini TBS  Bw. Joseph Masikitiko
Meneja wa Kanda ya Pwani wa Kampuni ya Megatrade investment limited Godfrey Mkunde kulia akiwa na Msimamizi mkuu wa mauzo wa Kampuni hiyo Albert Kingu wakifurahia cheti cha ubora wa bidhaa za kampuni hiyo mara baada ya kukabidhiwa.
Meneja wa Kanda ya Pwani wa Kampuni ya Megatrade investment limited Godfrey Mkunde akitoa neno la shukrani baada ya afla fupi ya kupokea vyeti vya ubora kwa makampuni mbalimbali.


Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.